Thursday, March 9, 2023

MHE. RIDHIWANI KIKWETE ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA IDARA YA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI

 

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na watumishi wa idara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma kwa lengo la kufahamu majukumu ya Idara hiyo na kuhimiza uwajibikaji.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.


Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Idara yake kwa Naibu waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara hiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.


Mkurugenzi Msaidizi anayesimamia sehemu ya Usimamizi wa Orodha ya Malipo ya Mishahara, Bi, Jeanfrida Mushumbusi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya sehemu anayoisimamia kwa Naibu waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Serikalini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma. 


Mkurugenzi Msaidizi anayesimamia sehemu ya Menejimenti ya Bajeti ya Mishahara na Ajira, Bw. Baraka Mangosongo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya sehemu anayoisimamia kwa Naibu waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Serikalini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini Dodoma.



No comments:

Post a Comment