Friday, July 31, 2015

UTUMISHI YAKAMILISHA WIKI YA OPRAS KWA MWAKA 2015-2016

Kaimu Katibu Mkuu- Utumishi Bw. HAB Mkwizu  (wa tatu kutoka kushoto ) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji  wa  ofisi yake baada ya kukamilisha utaratibu kusaini malengo ya mwaka,  Wiki ya OPRAS kwa mwaka 2015-2016

Tuesday, July 14, 2015

Matukio wakati wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Bi.Colette Clark mjumbe kutoka Afrika Kusini akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Bi.Louise Shixwameni mjumbe kutoka Namibia akijibu hoja kutoka kwa wajumbe wa mkutano baada ya kutoa mada wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mjasiriamali akihudumia mteja wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.

Sehemu maalum ya wajasiriamali katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) ambapo mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika.


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Prof. Joseph Semboja wakati wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Siku ya pili ya Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika jijini Dar es Salaam

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt. Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika.

Katibu Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue na wajumbe wengine wakifuatilia mada zinazowasilishwa katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Kuwe Bakari na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika.

Sekretariet inayohudumia mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola.

Monday, July 13, 2015

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika wakifuatilia mada katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa REPOA Prof. Samwel Wangwe akiwasilisha mada katika Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akichangia mada wakati wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Sekretarieti ikikusanya taarifa mbalimbali za wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika wakifuatilia mada.

Mjumbe kutoka nchini Namibia Bi.Louise Shixwameni (wa pili kutoka kushoto) akichangia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika katika mkutano unaofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC).

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA WAANZA


Mmoja wa Wajumbe wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Afrika Kusini Bi.Colette Clark akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni  Y. Sefue.


Mmoja wa Wajumbe wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kutoka Afrika Rwanda Bw. Gaspard Musonera akipokewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni  Y. Sefue.

Friday, July 10, 2015

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA KUFANYIKA JULAI 13

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika mwaka 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. Florence Temba na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais - Utumishi Bi. Roxana Kijazi (kulia).

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika mwaka 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais - Utumishi Bi. Roxana Kijazi (kulia) na Mratibu wa Mafunzo, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika.