Monday, July 13, 2015

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika wakifuatilia mada katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa REPOA Prof. Samwel Wangwe akiwasilisha mada katika Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akichangia mada wakati wa Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)leo jijini Dar es Salaam.

Sekretarieti ikikusanya taarifa mbalimbali za wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika wakifuatilia mada.

Mjumbe kutoka nchini Namibia Bi.Louise Shixwameni (wa pili kutoka kushoto) akichangia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika katika mkutano unaofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC).

No comments:

Post a Comment