Monday, February 1, 2016

DAWATI LA MSAADA (HELP DESK)


71 comments:

 1. Kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwenye portal. Nashindwa kuingia kwenye watumishi portal.

  ReplyDelete
 2. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

  ReplyDelete
  Replies
  1. Habar msaada mm ni mwanachana ambaye nisahau email pamoja na passwod nimetumia email hii ili niweze kusaidiwa check no 9508484 naomba msaada kupitia email hii

   Delete
 3. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

  ReplyDelete
 4. kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwani sms ya kuhakiki account haijatumwa mpaka sasa. tunaomba msaada wenu kwani ni siku ya saba toka nijisajili.

  ReplyDelete
 5. ALOYCE GALLUS NINDI
  NILIOMBA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KWANI PASSWORD YANGU NI ILEILE nindi1961 BAADA YA OMBI HILO LA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KUNA TATIZO KATIKA KUHAKIKI ACCOUNT

  ReplyDelete
 6. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

  ReplyDelete
 7. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

  ReplyDelete
 8. Asanteni sana Utumishi wa Umma nimepata taarifa kuwa majina ya watumishi walio hakikiwa mmpeleka kwenye taasisi za fedha

  ReplyDelete
 9. nimejisali lakini wananambia mmenitumia email kwa barau pepe angu lakini sijapata hadi sasaa

  ReplyDelete
 10. Nimejisajili utumishi portal lakini nikijaribu kuingia kunaujumbe unaniambia ni hakiki kwakubofya kitufe kwenye barua pepe.sion huo ujumbe. Msaada ktk hili.

  ReplyDelete
 11. Nimejisajili ila usajili wangu haujakamilika kwakuwa niliambiwa nitatumiwa no kwenye email yangu ili nikamilishe usajili, cha kushangaza hadi leo sijatumiwa hizo no wala sms yoyote kwenye email yangu, hivyo imepelekea kushindwa kuingia na kupata huduma. Wahusika Naomba msaada wenu

  ReplyDelete
 12. Nimejisajili kwenye huduma hii ya watumishi portal ila usajili wangu haukukamilika kwasababu niliambiwa nitatumiwa namba kwenye email yangu ili niziingize nikamilishe usajili. Cha kustaajabisha ni kwamba tangu mwanzoni mwa mwez huu July hadi sasa cjatumiwa Hiyo namba na cwez kuingia kupata huduma. Wahusika nisaidieni kwa hilo.

  ReplyDelete
 13. Tataizo langu ni kama la wengi hapa, nimejisajili na nimeambiwa nitapata ujumbe katika email mpaka sasa sijapata, naambiwa tembelea email yako kukamilisha usajili sasa nifanyeje

  ReplyDelete
 14. Mimi nauliza mbona salary slip ni zile zile tu za mwezi wa NNE ??? Mimi nataka ya mwezi wa kumi nifanyeje???

  ReplyDelete
 15. Jamani mimi ni Mwalimu na Tatizo langu ni kuwa, SIJAWAHI KUPANDA DARAJA TANGU NIANZE KAZI 2005 HADI LEO NI MIAKA 12 NIKO TGTS B. NAOMBA KUSAIDIWA HILI NI AJBU NA KWELI!!! Niko Bunda Mji. 0787 271 147/ 0756 271 147.

  ReplyDelete
 16. MIMI NAITWA MWALIMU SAJIDU ATHUMAN BASHIRI MWENYE CHECK NO.110917995 NIMEJIUNGA NA HUDUMA YA WATUMISHI PORTAL NILIKUWA NAHITAJI SALARY SLIP LAKINI IMEGOMA BADALA YAKE INANNAMBIA 0 RESULT CROSS CHECK YOUR CHECK NO.NA MIMI NINA UHAKIKA SIJAKOSEA CHECK NAMBA NA HATA KUEDIT INAGOMA ILI NIONE KAMA NILIKOSEA.NAOMBA MSAADA WENU.

  ReplyDelete
 17. Nimesajili ila kila nikitaka kuingia kwenye akaunti yangu naambiwa mpaka nithibitishe kupitia barua pepe yangu.na nikifungua barua pepe sioni chochote .ninaomba msaada

  ReplyDelete
 18. nimekosea email ya kujisajilia baada ya stephanoegra nimeweka sterhaniegra

  ReplyDelete
 19. naomba msaada wa kuiondoa cheki namba yangu au mnibadilishie email

  ReplyDelete
 20. email yangu ni stephanoegra@gmail.com kwenye kujisajili nimekosea nimeweka sterhaniegra

  ReplyDelete
 21. naomba kujua kama umesahau passwords na email unafanyaje

  ReplyDelete
 22. nilijisajili kwa email ya francis.taab@mem.go.tz ambayo ilijumuisha wizara ya nishati na madini, kutokana na kutenganishwa kwa sasa, email hiyo haifanyi kazi, hivyo naomba kusajili upya kwa email nyingine ili niweze kuendelea kupata huduma zenu.

  ReplyDelete
 23. Nilikosea e-mail wakati najisajili inasomeka 'nyambakiokwadha@gmail.com.com' hizo .com zimejirudia Mara mbili. Nawezaje kurekebisha ili nitumie ukurasa huu? Asante

  ReplyDelete
 24. NimeingizNimekuta jina langu limekosewa. Nikijaribu kuingia tena siwezi. Hata nikijaribu kujisajili upya siwezi

  ReplyDelete
 25. Mimi mwl.Geofrey Alexander Mujuni cheque no. 110725205, nakatwa mshahara wangu na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, bila wao kunipa mkopo wakati nasoma.
  4/2016 wakati nasoma chuo kikuu walianza kukata nikapewa barua na bodi ya mikopo ya kuacha na sasa 4/2018 wameanza tena, naomba mnisaidie wasinisumbue tena maana hawakuwahi kunipa mkopo wao wakati na soma.Wanayafanya maisha yangu ya utumishi yanakuwa magumu. +255687942401

  ReplyDelete
 26. nilijisajili utumishi portal kitambo, sasa inakataa kwa password na email ile ile

  ReplyDelete
 27. Nimeandika barua ya matatizi yangu mbona naona kimya, wkt niliombwa namba nimetuma sioni majibu

  ReplyDelete
 28. Nimepanda daraja tangu 2014 mshahara ukabadilika 2015 sijalipwa arrears zangu mpaka leo

  ReplyDelete
 29. Naomba msaada nikiingia kwenye account yang naambiwa cjahakiki account na nikiingia kwenye email yangu sion SMS nilotumiwa

  ReplyDelete
 30. Naomba namba ya benki ya rita nilipie kuhakiki cheti body ya mikopp

  ReplyDelete
 31. Nmeomba kubadiri password imekubali ila nikiingiza kwenye salary sleep inakataa

  ReplyDelete
 32. Sawa

  Je! Unahitaji mkopo? Tunatoa kila aina ya mkopo kama mkopo wa deni, mkopo wa biashara, mkopo wa matibabu, mkopo wa nyumbani, mkopo wa mwanafunzi kiwango cha riba ya 1.5%.

  Wasiliana nasi leo kupitia barua pepe kwa usaidizi wa kifedha: easyloanfirm2020@gmail.com

  Kila la heri
  Derek Douglas

  ReplyDelete
 33. Nina miaka 6kazini cjawahi kupandishwa daraja naomba msaada mbona shida hiii,wenzangu kwingine tulio ajiliwa wote washapanda


  Sijawahi kupandishwa daraja toka niajiliwe ni miaka 6 sasa naomba msaada haki yangu jamani

  ReplyDelete
 34. Mimi mwl mbaruku s. Ntebwe mwenye check no. 111925003 wa babati, manyara nilijisajili na watumishi portal lakini asaiv kila niktaka kuingia inagoma na kuambiwa email au password sio sahihi, naomba msaada katka ilo

  ReplyDelete
 35. Mimi Mwl Alphonce Stephan Shayo mwenye check no.110591061 wa Liwale -Lindi , nilijisajili vizuri mara ya kwanza na watumishi portal lakini saivi kila nikijaribu kuingia password sio sahihi, kila nikijaribu njia ya Forgot password nayo haileti mrejesho wowote, nikijaribu kufungua account ingine inakataa inaniambia tayari nimeshajisajili. Naomba msaada katika hilo nahitaji nizipate hizo salaryslip ili niweze kamilisha baadhi ya mihamala. Asante

  ReplyDelete
 36. Nikitaka kjisajili watumishi portal inagoma au kwenye check number natakiwa niweke namba gan????

  ReplyDelete
 37. Nataka kupata salary slip naambiwa email address yangu haipo sasa tatizo ni nini? Wakati ndiyo naitumia siku zote .

  ReplyDelete
 38. Nimejisaji sasa kuna ujumbe ambao ulitakiwa kuingia kwenye baruapepe
  yangu ili kuhakiki lakini haujaingia naomba msaada

  ReplyDelete
 39. Nimesahau namba yangu ya siri pamoja na email naomba msaada ili nipate huduma hii

  ReplyDelete
 40. Tafadhali naomba kubadilisha email na password yangu,kwani ile niliojiregister nayo nimeisahau

  ReplyDelete
 41. Mimi niliajiriwa mwaka 2003 lakini nikakaa miaka 9 ndipo nikapandishwa daraja. na sasa mwaka 2016 nikapewa barua ya kupandishwa bahari mbaya ndipo zoezi la uhakiki likaja. mwaka 2017 Novemba nikapewa barua nyingine ya kupandishwa daraja na nikataarifiwa kuwa barua hii napandishwa cheo na kubatilisha barua ya awali ya 2016 na hivyo sistahili kulipwa malimbikizo. Lakini cha ajabu zaidi nipale amabpo toka nilipopandishwa daraja hili la 2017 novemba hadi leo mshahara haujabadilishwa na nikifuatilia naambiwa kuwa serikali inaongeza mshahara kwa awamu na hivyo ukibahatika utaongezewa nabaki naishangaa serikali kama kweli inatoa majibu haya. Lakini ikumbukwe haya ni maslahi ya mtumishi kwa mtindo huu tunakatishana tamaa. Tafadhali naomba wahusika kwakweli watulipe haki zetu ilikututia moyo. tumeambiwa mshahara hautapandishwa lakini sijasikia kauli ya kuwa waliopandishwa madaraja wasipewe haki yao. Please tusaidieni watumishi

  ReplyDelete
 42. Naitwa Meshack Kivuyo,naomba msaada wa salary sleep za mwaka huu kwani kila nikiingia kwenye akaunti yangu sipati salary sleep za mwaka huu,zipo tu za mwaka jana

  ReplyDelete
 43. Mimi naitwa Emmanuel kassian Haule,mwenye cheq no 111162149,nilijiunga na huduma hii ili niweze kupata huduma yenu,na email yangu ni ehaule712@gmail.com,lakini bahatimbaya nimesahau,password yangu,tafadhari naomba msaada wenu kunipatia password yangu,nanba yangu ya simu ni 0766239612,asante

  ReplyDelete
 44. Matatizo. Tupu salary slip portal

  ReplyDelete
 45. Mm nilikuwa ninaumwa nimepoteza kumbukumbu nimesahau email name mamba ya siri naomba usaidizi wenu namba yangu ya mshahara Ni 8162504

  ReplyDelete
 46. Nimesahau email na password naomba kubadili kwa email hii.check namba yangu ni 12079225

  ReplyDelete
 47. Nimejisajili kwa email ya deusdeditmsoka2@gmail.com nimejalibu mama kadhaa sipati majibu nambiwa invalid login attempt naomba msaada wenu

  ReplyDelete
 48. Nilijisajili utumishi portal bahati mbaya email yng haiko active kwa ssa na nmesahau nenosiri nililitumia kujisajili utumishi
  tafadhali naombeni msaada wenu ili niendelee kupata huduma
  email nilotumia kusajili ni lastbornfidwise@gmail.com
  Jina ni Fidon Fidelis Kaiza
  Check No.111699382

  ReplyDelete
 49. Nimesahau nebo LA siri naomba msaada

  ReplyDelete
 50. Fredy b senkoro check na 111260574
  Naomba kusaidiwa akaunti yangu ya salaryslip haifunguki sijui tatizo no nini

  ReplyDelete
 51. Fredy b senkoro check na 111260574
  Naomba kusaidiwa akaunti yangu ya salaryslip haifunguki sijui tatizo no nini

  ReplyDelete
 52. Nimesahau nebo LA siri naomba msaada

  ReplyDelete
 53. Habari nasikia watumishi portal kuna uwezekano wa kuomba mkopo salary adavan c nikweli?

  ReplyDelete
 54. Nimesahau password nisaidieni.

  ReplyDelete
 55. Naomba kubadilisha password check na 111158413. Na 0625601624

  ReplyDelete
 56. naomba kubadiri password check no 111902613 simu no 0629773921.

  ReplyDelete
 57. Naomba majibu yatolewe kwa wahusika maana kama ukishasahau neno la siri mbadala uliopo haufanyi kazi ili linahitaji waendeshaji walitafutie jibu la kudumu vinginevyo watu tutaendelea kurudia swali moja hilo kila siku

  ReplyDelete
 58. naomba msaada nimesahau password.email yangu ni allymohamed10@gmail.com

  ReplyDelete
 59. Naomba msaada nimesahau email yangu na password nahitaji salaryslip

  ReplyDelete
 60. Naomba msaada nimesahau email yangu na password nahitaji salaryslip

  ReplyDelete
 61. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 62. Naomba msaada nimesahau email ya ngu na password, nahitaji salaryslip check no yangu ni 111649329

  ReplyDelete
 63. Nimesahau pasweerd naombeni mnisaidie

  ReplyDelete
 64. Naombeni ninashida ya haraka ya iyo salary slip plz nisaidieni

  ReplyDelete
 65. Mm n mwanafunzi nlie hitimu kidato cha nne mwaka jana nlikua najaza hizi selform zilizo tangazwa tatizo langu ni kuwa kwenye kipengele cha technical sijaletewa zile selection za vyuo akati mwanzo nliletewa na nikawa nmeziandka kwenye karatasi ili niangalie vyuo vizuri lkn sasa sijaletewa hivyo vyuo naomba msaada kwa hilo

  ReplyDelete
 66. Nilisahau password ya log in account yangu .naombeni msaada wenu nimewapigia cm hawapokei .

  ReplyDelete
 67. Mimi ni naitwa David Mwambe mtumishi halmashauri ya masasi mji Kama afsa tatibi msaidizi wakati naajiriwa mwaka 2013 mwezi was kumi tarehe 23 Kuna watu wainsurance NIni Tanzania nakwatwa pesa Sasa Cha ajabu hatuna mikataba Wala hatuna mwawsiliano nao ya ukaribu shida na dhumumi nikutaka kujiondoa je nifanye nn nipate stahiki yangu na kujiondoa kabisa???

  ReplyDelete
 68. Cheti cha kuzaliwa kilichohakikiwa mwaka jana kinahitaji tena kuhakikiwa mwaka huu ili nikitumie kuomba mkopo heslb?

  ReplyDelete