Monday, August 27, 2018

WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI MKOANI KILIMANJARO WATAKIWA KUTUMIA VIZURI FEDHA ZA RUZUKU ILI KUBORESHA MAISHA YAO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Njoro wilayani Same (hawapo pichani) katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji  wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini  nchini.
 
Baadhi ya wananchi na wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Kileo wilayani Mwanga wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

Sunday, August 19, 2018

MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA FAMILIA YA ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAREHEMU DKT. OMAR ALI JUMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na mjane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma alipomtembelea nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na familia ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma alipowatembelea nyumbani kwao, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiagana na mjane wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dkt. Omar Ali Juma alipomtembelea nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.

Saturday, August 18, 2018

VIONGOZI NA WATUMISHI NCHINI WAKUMBUSHWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUTANGULIZA MBELE MOYO WA UZALENDO NA MASILAHI YA TAIFAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam kufunga kozi ya siku tano ya viongozi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimtunuku cheti Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James baada ya kuhitimu kozi fupi ya tano ya Viongozi iliyofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, iliyofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira akitoa neno la shukrani baada ya kuhitimu kozi fupi ya tano ya Viongozi katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akipokea zawadi ya tai, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, baada ya kufungua kozi fupi ya tano ya Viongozi, iliyofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, jijini Dar es Salaam. 

Friday, August 17, 2018

MHE. MKUCHIKA AWATEMBELEA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WASTAAFU IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D. Msuya alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D. Msuya alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Cleopa D. Msuya. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Joseph S. Warioba alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Joseph S. Warioba alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.


Sunday, August 5, 2018

SERIKALI YAFANYA UTEUZI WA BAADHI YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Wilaya katika Ukumbi wa mikutano wa Utumishi jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akisikiliza swali la mwaandishi wa habari (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Utumishi jijini Dar es Salaam mara baada ya kutangaza majina ya baadhi ya Makatibu Tawala wa Wilaya  walioteuliwa na Serikali.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akijibu  swali la kiutumishi la  mwaandishi wa habari (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Utumishi jijini Dar es Salaam mara baada ya kutangaza majina ya baadhi ya Makatibu Tawala wa Wilaya  walioteuliwa na Serikali.