Monday, August 27, 2018

WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI MKOANI KILIMANJARO WATAKIWA KUTUMIA VIZURI FEDHA ZA RUZUKU ILI KUBORESHA MAISHA YAO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Njoro wilayani Same (hawapo pichani) katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji  wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini  nchini.
 
Baadhi ya wananchi na wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika kijiji cha Kileo wilayani Mwanga wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na mmoja wa wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Bi. Salome Athumani wa kijiji cha Njoro wilayani Same mara baada ya kutoa msaada wa fedha kwa mnufaika huyo katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na mmoja wa wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Bw. Jumanne Muhamed Idafu wa kijiji cha Njoro wilayani Same mara baada ya kutoa msaada wa fedha kwa mnufaika huyo katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na mmoja wa wanufaika wa fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wilayani Same katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro, yenye lengo la kufanya ufuatiliaji  wa maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini  nchini.

No comments:

Post a Comment