Wednesday, November 30, 2016

SERIKALI YAFANYA MDAHALO NA WADAU KUHUSU KUJENGA NA KUKUZA MAADILI, HAKI ZA BINADAMU, UWAJIBIKAJI, UTAWALA BORA NA MAPAMABANO DHIDI YA RUSHWA


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akifungua mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akifungua mdahalo huo kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam. Bi. Susan Mlawi alifungua mdahalo huo kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba,  akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadili nchini kabla ya mdahalo wa kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa , uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam, uliofunguliwa na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora Bi. Susan kwa niaba ya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora.

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba akiongoza mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mdahalo kuhusu kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa wakisikiliza mada.

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, akichangia mada kuhusu maadili wakati wa mdahalo wa kujenga na kukuza maadili, haki za binadamu, uwajibikaji, utawala bora na mapamabano dhidi ya rushwa, uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam.