Wednesday, January 31, 2018

SERIKALI KUZIFIKIA KAYA ZOTE MASIKINI NCHINI


TAARIFA KWA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akijibu swali kuhusu utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini nchini Bungeni leo.


Wednesday, January 24, 2018

JARIDA TANDO

BOFYA KUSOMA JARIDA TANDO

https://madmagz.com/magazine/1227464#/page/21

Thursday, January 18, 2018

SCHOLARSHIP OPPORTUNITY FOR GOVERNMENT OFFICIALS

Scholarship opportunity in Japan, Masters degree programs, : Start in October, 2018; , applications are invited from qualified government officials., 
for details, click ...... https://www.facebook.com/utumishiweek/posts/1632000393560565
Wednesday, January 10, 2018

TaGLA YAPONGEZWA KWA URATIBU WA MIKUTANO KAZI KUPITIA TEHAMA

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Dorothy Mwaluko akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu TaGLA Bw. Charles Senkondo, iliyopigwa muda mchache baada ya kikao kazi na watumishi wa TaGLA

Friday, January 5, 2018

INDIA KUENDELEA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), akiwa katika kikao na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya, wa pili kutoka kushoto
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), katikati, akiwa katika kikao na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya, wa pili kutoka kushoto.


MSIKILIZE WAZIRI MKUCHIKA AKIJADILI MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

BOFYA kiunganisho...https://youtu.be/03kW18VAtu0

TUNATEKELEZA; WAZIRI MKUCHIKA ASHIRIKI MJADALA KUHUSU MASUALA YA KIUTUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC).