Wednesday, March 7, 2018

TAARIFA YA MWISHO YA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI KWA WATUMISHI WA UMMA





Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza  baada ya kupokea taarifa ya mwisho ya zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma toka kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde.


Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde (kulia) akiwasilisha taarifa ya mwisho ya zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akikabidhiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde nakala ya taarifa ya sita na ya mwisho ya zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde mara baada ya makabidhiano ya taarifa ya mwisho ya zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma.

3 comments:

  1. You made some really good points there. I looked on the web for more info about the issue and found most people will go along with your views on this web site.If you are having Great Collections of Free IPTV M3U Playlist Don’t Forget to Share with Us & Also Ask Us If you have any questions use the comments box. Also, if you want to thanks us for the Latest IPTV Channel Playlist 2019. you can do it just by sharing this article on social media platforms such as Facebook, Whatsapp , Twitter, and Pinterest”

    ReplyDelete
  2. Great!
    It is providing the latest IPTV M3U playlists that you can search on our website for free.
    You can find here many channels through which you and your family can enjoy. You can watch Daily Updates,Video
    clips, Movies and Films, Live news coverage, Busineess channel,
    Sports channels, Trailers and local channel lists and other amusement/pleasure.Visit

    ReplyDelete
  3. You made some really good points. I looked on the Internet for more information
    about the problem and found that most people would agree with your views on this website.
    If you have great collections of the free IPTV M3U playlist, be sure to share it with us and
    also ask us if you have any questions, use the comment box. In addition, if you want to thank
    us for the latest playlist for the IPTV channel 2020. You can do this simply by sharing this article
    on social networks such as Facebook, Whatsapp, Twitter and Pinterest. ”

    ReplyDelete