Saturday, February 10, 2018

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI MAAFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA KWA KUTOWAJIBIKA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akimhoji Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba sababu za kutomchukulia hatua mmoja wa watumishi mwenye tatizo la cheti licha ya kuwepo taarifa ambazo zinamuwezesha kuchukua hatua.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro  akiwa katika kikao na Maafisa Utumishi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ili kujiridhisha juu ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa Halmashauri hiyo.


Afisa Tawala Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Zephania Mshanga (katikati) akipitia orodha ya watumishi waliohakikiwa vyeti vya ufaulu wa kidato cha nne na cha sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika mazungumzo ya kikazi na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Kamishna wa Polisi, Bw. Clodwing Mtweve alipomtembelea Ofisini kwake Katibu Tawala huyo. Katikati ni Afisa Tawala Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Zephania Mshanga akifuatilia mazungumzo hayo kwa makini.

2 comments:

  1. I blog frequently and I really appreciate your information. Your article has truly peaked my interest. I am going to bookmark your website and keep checking for new details about once a week. I opted in for your RSS feed too.If you are having Great Collections of Free IPTV M3U Playlist Don’t Forget to Share with Us & Also Ask Us If you have any questions use the comments box. Also, if you want to thanks us for the Latest IPTV Channel Playlist 2019. you can do it just by sharing this article on social media platforms such as Facebook, Whatsapp , Twitter, and Pinterest”

    ReplyDelete
  2. Hi there! This article could not be written much better! Looking at this article reminds me of my previous roommate! He continually kept preaching about this. I most certainly will send this post to him. Pretty sure he'll have a good read. I appreciate you for sharing!If you are having Great Collections of Free IPTV M3U Playlist Don’t Forget to Share with Us & Also Ask Us If you have any questions use the comments box. Also, if you want to thanks us for the Latest IPTV Channel Playlist 2019. you can do it just by sharing this article on social media platforms such as Facebook, Whatsapp , Twitter, and Pinterest”

    ReplyDelete