Tuesday, February 20, 2018

MWALIMU WA SEKONDARI KUFUNDISHA MSINGI SIO KUSHUSHWA CHEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako.


Sehemu ya watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako walioshiriki kikao kazi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani). Watumishi walipata fursa ya kuuliza masuala mbalimbali ya kiutendaji na kupewa ufafanuzi.


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akisisitiza jambo kwa watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako katika kikao kazi.


Mmoja wa watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako akitumia fursa ya kuwasilisha hoja kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati wa  kikao kazi mjini Makambako.

No comments:

Post a Comment