Sunday, February 18, 2018

KUPANDISHWA CHEO SERIKALINI KUZINGATIA UTENDAJI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika kikao kazi na watumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.

Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kazi na watumishi hao chenye lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
                                                                                        

No comments:

Post a Comment