Wednesday, February 21, 2018

SERIKALI YA TANZANIA YAISHUKURU SERIKALI YA JAPANI KWA USHIRIKIANO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (wa kwanza kulia) kilichofanyika leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam

Balozi wa Japani, nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam

Balozi wa Japani, nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida akielezea jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment