Friday, February 2, 2018

MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman alipomtembelea ofisini kwake leo.


Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipomtembelea waziri huyo ofisini kwake leo.

No comments:

Post a Comment