Tuesday, October 31, 2017

SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA Z...

MHE. MKUCHIKA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUEPUKA RUSHWA NA KUZINGAT...

DKT. NDUMBARO ATOA UFAFANUZI WA MASUALA YA KIUTUMISHI KWENYE KAMATI YA B...

MHE. MKUCHIKA AWATAKA WATUMISHI WA OFISI YAKE KUEPUKA RUSHWA, KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akipokewa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisalimiana na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akizungumza na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimuonesha moja ya picha za kumbukumbu za makatibu wakuu wa zamani wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika alipomtembelea katibu huyo ofisini kwake, mara baada ya Waziri huyo kuwasili Makao Makuu ya ofisi ya Rais-Utumishi mjini Dodoma.

SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJIWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akiwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisikiliza hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya kuwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwa wajumbe wa kamati hiyo.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.