Wednesday, October 4, 2017

MHE. KAIRUKI AZINDUA BODI YA USHAURI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA






Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiwasilisha mada kuhusu Muundo, Majukumu na Uendeshaji wa Bodi ya Ushauri Kuhusu Utendaji kazi wa Wakala za Serikali kabla ya uzinduzi wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Chuo na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo ya utangulizi kuhusu majukumu ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kabla ya kuzinduliwa rasmi kwa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiteta jambo na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro wakati wa kikao cha Uzinduzi wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), kuzungumza na Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kabla ya kuizindua rasmi Bodi hiyo jijini Dar es Salaam


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (hawapo pichani) kabla ya kuizindua rasmi Bodi hiyo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi  wa Umma Tanzania, Dkt. Charles Msonde akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Charles Msonde wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania mara baada ya kuizindua bodi hiyo jijini Dar es Salaam.


 


 





No comments:

Post a Comment