Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro
akimuonesha moja ya picha za kumbukumbu za makatibu wakuu wa zamani wa Ofisi ya
Rais-Utumishi wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika alipomtembelea
katibu huyo ofisini kwake, mara baada ya Waziri huyo kuwasili Makao Makuu ya ofisi
ya Rais-Utumishi mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment