MHE. RAIS AKIMUAPISHA BI. DOROTHY MWALUKO KUWA NAIBU KATIBU MKUU-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Dorothy
Mwaluko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi
baada ya kumuapisha Bi. Dorothy Mwaluko kuwa Naibu Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
No comments:
Post a Comment