Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada la Marekani
(USAID) nchini, Bw. Andrew Karas alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia
masuala ya kiutumishi na utawala bora.
|
No comments:
Post a Comment