Thursday, October 26, 2017

SERIKALI YADHAMIRIA KUWA NA UTUMISHI WA UMMA WENYE UFANISI KIUTENDAJI



Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na wajumbe wa mkutano wa pamoja wa kujadili Tathmini ya Ugatuaji wa Madaraka na Programu mpya ya Mabadiliko ya Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma ulifanyika mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa pamoja wa kujadili Tathmini ya Ugatuaji wa Madaraka na Programu mpya ya Mabadiliko ya Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma wakiwa katika mkutano huo mjini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Ibrahim Mahumi akichangia  kuhusu Tathmini ya Ugatuaji wa Madaraka na Programu mpya ya Mabadiliko ya Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma.

Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Aggrey Mwanri akiwa meza kuu na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Utumishi Bora, Bi. Susan Mlawi pamoja Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Bw. Tixon Nzunda wakati wa kufunga mkutano wa pamoja wa kujadili Tathmini ya Ugatuaji wa Madaraka na Programu mpya ya Mabadiliko ya Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma ulifanyika mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment