Sunday, October 28, 2018

SERIKALI YAWAPONGEZA WANUFAIKA WA MIRADI YA MAENDELEO KWA KUTUMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI WANAZOZIPATA KWA KUTEKELEZA SERA YA UCHUMI WA VIWANDA NA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiangalia moja ya bidhaa iliyotengenezwa na mnufaika wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) wa kikundi cha Pamoja, kata ya Gangilonga mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzungumza na watumishi wa umma na kutembelea miradi inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya ofisi yake.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akipata maelezo ya bidhaa zilizotengenezwa na wanufaika wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF) wa kikundi cha Maridadi, kata ya Kihesa mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzungumza na watumishi wa umma na kutembelea miradi inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya ofisi yake.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akikabidhi hati ya umiliki wa ardhi kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa MKURABITA, kata ya Igumbilo mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzungumza na watumishi wa umma na  kutembelea miradi inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya ofisi yake.
 SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA WILAYANI KILOLO KUISHI MAENEO WANAYOFANYIA KAZI ILI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma wilayani Kilolo wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Iringa yenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Baadhi ya watumishi wa umma wilayani Kilolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.Friday, October 26, 2018

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA TABIA YA KUOMBA UHAMISHO PINDI WANAPOAJIRIWA KATIKA MAENEO YENYE UPUNGUFU WA WATUMISHIWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Baadhi ya watumishi wa umma mkoani Iringa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Mmoja wa Watumishi wa mkoa wa Iringa akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akijibu maswali yaliyoulizwa na baadhi ya watumishi wa mkoa wa Iringa wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Ally Hapi na kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Mhe. Asia Abdallah.