Friday, October 26, 2018

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA TABIA YA KUOMBA UHAMISHO PINDI WANAPOAJIRIWA KATIKA MAENEO YENYE UPUNGUFU WA WATUMISHI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma mkoani Iringa wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Baadhi ya watumishi wa umma mkoani Iringa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Mmoja wa Watumishi wa mkoa wa Iringa akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akijibu maswali yaliyoulizwa na baadhi ya watumishi wa mkoa wa Iringa wakati wa kikao kazi cha waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Ally Hapi na kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Mhe. Asia Abdallah.


No comments:

Post a Comment