Friday, July 4, 2014

DKT. PINDI CHANA AZINDUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA


Mgeni Rasmi Naibu   Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akifungua rasmi mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo.


Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Sera - Utumishi ambaye pia ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara Bw.Mathias Kabunduguru akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu   Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana  (hayupo pichani) kufungua mkutano wa Baraza hilo lilozinduliwa rasmi mjini Dodoma leo.


Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu   Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza hilo mjini Dodoma leo.


Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu   Waziri wa  Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana  (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Baraza hilo mjini Dodoma leo.


Mkurugenzi Msaidizi - Utumishi Bi. Hilda Kabisa akiwasilisha mada baada ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo

Sekretarieti ikichukua michango wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo.

Thursday, July 3, 2014

Mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waendelea,Dodoma

Mkurugenzi Msaidizi Utumishi Bw. Joseph Ndauka akitoa mada wakati wa mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo. Kutoka Mkurugenzi wa Idara ya wa Utawala Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura Muhoji na Katibu Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala. 

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakifuatilia mada.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakifuatilia mada.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakifuatilia mada.

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Utumishi Bw. Emmanuel Mlay akitoa mada wakati wa mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo

Meza kuu ikifuatilia mada.Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu,Katibu Mkuu Utumishi Bw.George Yambesi,Mkurugenzi wa Idara ya wa Utawala Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura Muhoji na Katibu Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala.

Wednesday, July 2, 2014

Dk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa,Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani).

Sehemu ya Washiriki wa mkutano wa Wakuuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini wakipewa utaratibu wa siku ya kwanza.

Picha ya pamoja na waratibu wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa; Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (watatu kutoka kushoto), akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchini (wanne kutoka kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa tano kushoto).