Thursday, July 3, 2014

Mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waendelea,Dodoma

Mkurugenzi Msaidizi Utumishi Bw. Joseph Ndauka akitoa mada wakati wa mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo. Kutoka Mkurugenzi wa Idara ya wa Utawala Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura Muhoji na Katibu Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala. 

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakifuatilia mada.

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Utumishi Bw. Emmanuel Mlay akitoa mada wakati wa mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo

Meza kuu ikifuatilia mada.Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu,Katibu Mkuu Utumishi Bw.George Yambesi,Mkurugenzi wa Idara ya wa Utawala Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura Muhoji na Katibu Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala.

No comments:

Post a Comment