Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akifungua rasmi mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi
katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo.
|
Mkurugenzi Msaidizi - Utumishi Bi. Hilda Kabisa akiwasilisha mada
baada ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa
Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo
|
Sekretarieti ikichukua michango wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo. |
No comments:
Post a Comment