Saturday, April 23, 2016

Mhe. Kairuki afungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi leo

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kufungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Dkt.  Ndumbaro ni Mwenyekiti wa Baraza hilo.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua  mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akifunga mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika katika  Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Wednesday, April 20, 2016

UTARATIBU WA UNUNUZI WA SAMANI ZA SERIKALI

Unaujua utaratibu wa ununuzi wa samani za Serikali?, 
soma utaratibu huo katika tovuti; www.utumishi.go.tz

Thursday, April 14, 2016

Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan amtembelea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb)

Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) alipomtembelea ofisini kwake. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan alipotembelea ofisini kwake.

Monday, April 11, 2016

Mhe. Kairuki afungua Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) mjini Dodoma

Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.

Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bibi. Sipora J. Liana akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.

Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akifungua Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.