Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Watumishi wanaoondolewa katika Orodha ya Malipo ya Mishahara (payroll) ofisini kwake. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi Bi. Susan Mlawi. |
No comments:
Post a Comment