Mkurugenzi Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Ofisi ya Rais,Utumishi Bw. Hassan Kitenge (kwenye screen) akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,TAMISEMI, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Rukwa, Tabora, Dodoma, Ruvuma, Manyara, Njombe, Mbeya, Kilimanjaro na Songwe kilichofanyika mapema leo. |
No comments:
Post a Comment