Ujumbe kutoka Shirika la misaada la Uingereza DFID wamtembelea Mhe. Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah
Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la misaada la Uingereza DFID ulipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
No comments:
Post a Comment