Friday, March 18, 2016

Tahadhari!



Ofisi ya Rais-Menejimenti na Utumishi wa Umma inapenda kuwatahadharisha watumishi na wananchi kwa ujumla kwamba Fomu za Ahadi ya Uadilifu kwa Watumishi wa Umma haziuzwi na kila Mwajiri ahakikishe anawapatia watumishi fomu hizo zinazopatikana katika Tovuti ya Utumishi www.utumishi.go.tz

No comments:

Post a Comment