Tuesday, March 29, 2016

Ubalozi wa India nchini Tanzania waadhimisha ITEC DAY

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) akiwasha mshumaa kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.  Anayeshuhudia ni Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya .

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza katika maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.
Balozi wa India nchini Tanzania Mh. Sandeep Arya (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora  Mh. Angellah Kairuki (Mb) wakati wa maadhimisho ya  Siku ya Ushirikiano wa Kiufundi  na Kiuchumi  kati ya Tanzania na India (ITEC DAY) yaliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha  India jijini  Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment