Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya
video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo
kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya
Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi kilichofanyika mapema leo.Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi (kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya
video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo
kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya
Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu,Lindi.
|
No comments:
Post a Comment