Thursday, March 17, 2016

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa yatembelea TASAF na Tume ya Utumishi wa Umma

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa mchango wake  wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika ofisi za Tume.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga akiwasilisha mada ofisini kwake wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa mchango wake  wakati wa kikao kati ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika ukumbi wa  TASAF. 

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akifuatilia mada wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kilichofanyika ofisi za Tume. 

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Jaji Mstaafu Bw.Steven Bwana (wa pili kutoka kulia) akieleza baadhi ya changamoto za kazi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ilipofika ofisini kwake.

Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake  wakati wa kikao katika ofisi za  Tume ya Utumishi wa Umma na  Kamati hiyo kilichofanyika mapema leo

Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa akitoa mchango wake  wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na  Kamati hiyo kilichofanyika ofisi za Tume. 

No comments:

Post a Comment