|
Katibu Mkuu Utumishi Dkt.
Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa
Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi
wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.
|
|
Sehemu ya washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za
Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki
(Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.
|
Mmoja wa washiriki wa
Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS)
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bibi. Sipora J. Liana
akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
|
Mmoja wa washiriki wa
Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS)
akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
|
|
Waziri wa Nchi,Ofisi
ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akifungua Mafunzo
kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa
Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania
yaliyofanyika mjini Dodoma.
|
|
Sehemu ya washiriki wa
Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS)
wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa
ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment