Monday, October 1, 2018

WATENDAJI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI, TARATIBU NA MIONGOZO YA UTUMISHI WA UMMA



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akifungua mafunzo maalum kuhusu utekelezaji  sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu mjini Morogoro.

Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu wakimsilikiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mafunzo maalum kuhusu utekelezaji sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Watendaji hao, mjini Morogoro.


Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Henry Mambo akitoa neno la utangulizi kabla ya ufunguzi wa mafunzo maalum kuhusu utekelezaji  sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu mjini Morogoro.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu baada ya kufungua  mafunzo maalum kuhusu utekelezaji  sahihi wa Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo katika uendeshaji wa Utumishi wa Umma kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment