Sunday, October 28, 2018

SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA WILAYANI KILOLO KUISHI MAENEO WANAYOFANYIA KAZI ILI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma wilayani Kilolo wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Iringa yenye lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Baadhi ya watumishi wa umma wilayani Kilolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwa lengo la kuwasikiliza, kupokea changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utumishi wa umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.



No comments:

Post a Comment