Tuesday, October 17, 2017

WAZIRI MKUCHIKA (MB) AWAAGIZA WAAJIRI KATIKA SEKTA YA UMMA KUWASILISHA VIELELEZO VYA RUFAA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KWA WAKATI




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (katikati) akikaribishwa na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika Tume hiyo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akiwasilisha Taarifa ya Utelekezaji wa Majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipofanya ziara ya kikazi katika Tume hiyo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. George Yambesi akitoa neno la shukurani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) mara baada ya Waziri kuzungumza na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi katika Tume hiyo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) alipokuwa akizungumza nao jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akieleza kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb), wa pili kushoto, akijionea moja kwa moja mifumo ya TEHAMA inavyofanya kazi katika ofisi za Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) alipofanya ziara ya kikazi jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri Bakari akiwasilisha mada kuhusu Serikali Mtandao wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb).

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na watendaji, pamoja na watumishi wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment