Mtangazaji na mwongozaji wa
kipindi cha Habari Kuu Tuongee Asubuhi kinachorushwa hewani na Kituo cha Star
TV, Bi. Grace Simfukwe akiongoza kipindi hivyo mapema leo.Kipindi hicho
kimemshirikisha Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Anne Mazalla na Afisa
Tawala Mkuu wa Kitengo cha Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Mwanaamani Mtoo (hawapo pichani).
|
No comments:
Post a Comment