Thursday, October 19, 2017

WAZIRI MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA IDARA NA VITENGO - UTUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifuatilia mada katika moja ya vikao kazi alivyofanya leo na watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini Bw. Priscus Kiwango akieleza kazi mbalimbali zinazohusu TEHAMA Serikalini na utekelezaji wake.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisikiliza maelezo kuhusu kazi zinavyofanyika katika Ofisi anayoiongoza kutoka kwa watendaji (hawapo pichani), leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment