Tuesday, October 31, 2017

SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akiwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisikiliza hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya kuwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwa wajumbe wa kamati hiyo.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.

No comments:

Post a Comment