Saturday, February 17, 2018

SERIKALI YAELEKEZA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA KUFANYA UKAGUZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA WATUMISHI WA UMMA

TAARIFA KWA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Sekretarieti ya  Mkoa wa Njombe katika kikao kazi na waumishi hao chenye lengo la  kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.



Baadhi ya watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Njombe wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kazi na watumishi hao chenye lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.

Mmoja wa watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Njombe akiwasilisha hoja yake kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati wa  kikao kazi na watumishi hao chenye lengo kusikiliza changamoto zinazowakabili watumishi hao na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.


No comments:

Post a Comment