Tuesday, February 27, 2018

UTUMISHI WA UMMA UNAIMARISHWA KWA MAENDELEO YA WATANZANIA



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro  akiwa katika kikao kazi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba  pamoja na Maafisa Utumishi wa  Halmashauri hiyo  chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Pendo A. Malabeja.

No comments:

Post a Comment