Thursday, February 8, 2018

SERIKALI YA UINGEREZA: MSHIRIKA WA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao ofisini kwake na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), hayupo pichani, akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke (kulia), pamoja na ujumbe wake

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) na  Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke (kulia), katika picha na baadhi ya wajumbe wa kikao, Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment