Wednesday, February 21, 2018

SERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM 13 WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA HUDUMA NCHINI

      Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.

Afisa Utumishi Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Juliana Massawe akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.  

Mratibu wa Wataalam wa kujitolea, Bw. Tsujimoto Makoto akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea wa Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.


Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akiagana na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.

Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.


No comments:

Post a Comment