|
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Ludewa katika kikao kazi na waumishi hao kwa lengo kuwasikiliza na kutoa
ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma.
|
Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Bw. Ng’wilabu N. Ludigija akitoa neno la
utangulizi kumkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - UTUMISHI Dkt. Laurean Ndumbaro
kuzungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo masuala ya kiutumishi hususani haki
na wajibu wa mtumishi wa Umma.
|
Baadhi ya watumishi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kazi na waumishi hao chenye lengo
kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
|
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akisisitiza jambo kwa watumishi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi chake na waumishi hao chenye lengo la
kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
|
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika mazungumzo
ya kikazi na Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe Andrea. A.
Tsere kabla ya kufanya kikao kazi na
watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
|
No comments:
Post a Comment