Thursday, March 8, 2018

WANAWAKE WAASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA

TAARIFA KWA UMMA

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wanawake wa ofisi yake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko akizungumza na watumishi wanawake wa ofisi yake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.


Baadhi ya watumishi wanawake wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Dorothy Mwaluko (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

No comments:

Post a Comment