Friday, January 5, 2018

TUNATEKELEZA; WAZIRI MKUCHIKA ASHIRIKI MJADALA KUHUSU MASUALA YA KIUTUMISHI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC).

No comments:

Post a Comment