Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akiwa katika picha ya moja na wajumbe
kutoka Kampuni ya Bayport Tanzania
na maofisa wa Ofisi yake mara baada ya kupokea msaada wa kompyuta 205 .Kulia
kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro.
|
No comments:
Post a Comment