Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) nchini Tanzania (hawapo pichani) ulipomtembelea ofisini kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo nchini. |
No comments:
Post a Comment