Friday, November 18, 2016

MHE. KAIRUKI KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 'ITV' JUMATATU SAA 3:00 USIKU TAREHE 21/11/2016


1 comment:

  1. Tunatarajia kusikia kauli ya serikali dhidi ya maslahi ya watumishi wa umma yaliyositishwa tangu zoezi la uhakiki lianze July 2016..
    Tunatarajia kusikia muundo mpya wa mishahara kwa watumishi wa umma utaanza rasmi lini?
    Tunatarajia kusikia kauli ya serikali dhidi ya madeni ya mishahara ambayo hayajalipwa hadi sasa ilhali serikali inao mfumo madhubuti wa kutambua mifumo ya malipo.
    Ni matarajio yangu kuwa Waziri Kairuki atajibu na kujikita katika hoja kuntu katika masuala yanayowahusu watumishi wa umma nchini bila kuongizwa na majibu ya dhahania.
    Ni imani yangu kuwa serikali itatoa majibu dhidi ya usitishwaji ajira kwa maelfu ya watoto wa wakuluma waliopo mtaani sasa.
    Dhana ya Hapa Kazi Tu Ni dhana ya vitendo bila siasa na porojo ndani yake.Nakutakia dakika 45 zenye kulenga na kuleta ustawi kwa watumishi wa umma Tanzania.

    ReplyDelete